9. "I Thank Thee For Thy Keeping, Lord." (9)

Nyimbo Standard Hymns Lyrics: "SALA YA ASUBUHI"

H.C. 2I. [L.M.]

Asante kwa Mwokozi,

Umenilinda gizani,

Na kunileta salama,

Hata mapambaukoni.


Na kutwa nibarikie

Kwa kunipa mashauri;

Siniache nijitie

Penye dhambi na hatari.


Siniache macho yangu

Niyatangishe dhambini;

Mikono wala miguu,

Visiingie sharini.


Maneno yangu na yawa

Ya kweli tupu na haki:

Niendapo pote niwe

Mwema, nikikusadiki.


********END*********


The List 👇of Nyimbo Standard Hymns in Kiswahili;

Post a Comment

Previous Post Next Post