Nyimbo Standard Hymns Lyrics: "SALA YA ASUBUHI"
H.C. 14 [L.M]
Jesu, Bwana wa neema,
Mwanga wake Baba mwema;
Ndiwe wa kutung'ariza,
Uliko hahuna giza.
Njoo, Jua la mbinguni,
Umulike kwetu chini;
Mwanga wa rohono pia,
Uwe kutumulikia.
Imani ya roho zetu
Ishinde miili yetu:
Myoyo ijae neema,
Ili tuwe na salama.
Siache kututakasa,
Tuwe na mapenzi hasa,
Na unyenyekevu mwingi,
Itimilike imani.
Asubuhi kila siku
Na tuanze kwako Jesu,
Ili tuonyeshe watu
Ulivyo Mwokozi, Mungu.
********End********
The List 👇of Nyimbo Standard Hymns in Kiswahili;
1. "Holy, Holy, Holy, Lord God Almighty." (1)
2. "Awake, My Soul, and with the Sun". (2)
4. "The Morning Bright with Rosy Light." (4)
10. "My Father, I thank Thee For Sleep". (10)